Menyu

Tips of the Day 10.02.2021 (Everton Vs Tottenham )

| 09.02.2021
Tips of the Day 10.02.2021 (Everton Vs Tottenham )

Everton Vs Tottenham 

  • Everton kuwakaribisha Tottenham Hotspurs jumatano hii katika kombe la FA kuwania kutinga nafasi ya robo fainali. Game hii inachezwa saa 5:15 usiku katika dimba la Goodison Park uwanja wa nyumbani wa Everton. Hali ya mchezo mpaka sasa imebalance kwa 50% kila timu.

  • Tottenham imekua na matokeo mabaya kwenye ligi hivi karibuni imepelekea kushuka mpaka kuwa katika nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na points 36 huku Everton wakishika nafasi ya 7 wakiwa na points 37. Katika mechi tano za head-to-head walizokutana baina ya timu kwenye misimu 3 iliyopita Tottenham ameshinda mala 2, everton mala 1 na mechi 2 kuishia kwa sare.

  • Tuangaze mechi 5 za hivi karibuni walizocheza baina ya timu hizi na timu nyingine katika michuano mbalimbali wanayoshiriki, Everton ameshinda mechi 2, kapoteza mechi 1 na mechi 2 zikiisha kwa sare huku Tottenham akishinda mechi 2 na kupoteza 3. Tunatarajia game ya ushindani mkubwa na timu ya ugenini watashinda chini ya magoli 4.5.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo mbalimbali na odds bora kabisa tembelea https://tanzaniatips.com/predictions/id1292-Everton-vs-Tottenham-10-02-2021

 

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated