Menyu

JE! NI KWELI UNAWEZA KUBETI CORRECT SCORE NA UKASHINDA?

| 09.02.2021
JE! NI KWELI UNAWEZA KUBETI CORRECT SCORE NA UKASHINDA?

JE! NI KWELI UNAWEZA KUBETI CORRECT SCORE NA UKASHINDA?

Ni hakika isiyo na shaka kwamba kwa kutumia aina ya correct score unaweza kushinda japo aina hii ya beti ni ngumu sana na inaitaji mchezaji kujifunza zaidi kuhusu timu anazokusudia kuzitumia wakati wa kubashiri kwake. Katika aina hii ya beti mchezaji anatakiwa kubashiri matokeo halisi ya mechi kabla mchezo haujaanza.

Kwa kawaida kuna ugumu Fulani katika kutabiri matokeo ya mpira au mchezo wowote ikiwa hujaweka umakini na aina hiyo ya michezo unayotaka kuitumia kubashiri, ili uweze kunufaika na matokeo husika na uweze kujishindia pesa kulingana na kiwango ulicho kiweka wakati unabashiri pia chaguzi za aina gani ya beti nitumie kubashiri inaweza kukusaidia kupata matokeo ya ushindi na kujinyakulia ngawila za kutosha.

Katika aina hii ya beti mchezaji anatakiwa kuchagua ni timu gani itashinda au ita droo, achague eidha ya nyumbani au ugenini ndio itakayo ibuka kidedea ila kwa kawaida unatakiwa ubeti matokeo halisi. Na katika beti hii mchezaji haulizwi ni nani atashinda na ni nani atadroo au kufungwa bali unatakiwa utaje matokeo halisi pale mchezo utakapo kuwa umemalizika kucheza.

Jinsi ya kubeti correct score na Kushinda

Mchezaji anashauriwa kufatilia kwa undani zaidi aina ya timu anayo taka kuibetia ajue historia yake, uwezo wake wa kusakata kabumbu, atambue uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na afahamu katika msimamo wa ligi inaposhiriki hiyo timu na ni ya ngapi katika msimamo.

Kwa ujumla kubashiri matokeo halisi na ukafanikiwa kushinda sio kazi rahisi, kuna ugumu kidogo ingawa ukifanikiwa kushinda malipo yake sio haba, ili uweze kushinda unapaswa kujua mechi zao za nyuma za ugenini na nyumbani walizo cheza kabla wao  kukutana zilikuwaje na ufatilie takwimu zao zingine katika mechi zao ili zikusaidie kuwa na uelewa wa kutosha ili uweze kushinda mkeka wako, kwa kufatilia utajua labda ni timu ya nyumbani au ugenini itashinda pia ni vyema mchezaji kuwa makini wakati wa ukusanyaji wa taarifa kuhusu timu hizo.

Ili ushinde fuatilia kama timu ina historia ya kushinda mechi za nyumbani kuna timu kwa mechi zao za nyumbani piga ua zinakuwa na historia nzuri za ushindi na zina historia nzuri za ushindi zinapo kuwa ugenini, ukifahamu hilo litakusaidia sana katika ushindi wako kuwa na uhakika wa kushinda.

Kwenye aina hii ya beti ili uwe na uhakika zaidi wa ushindi utatakiwa uweke magoli machache kwa maana ni aghalabu kukuta timu imefungwa magori mengi, kuanzia matatu na kuendelea, kwa kawaida timu nyingi ufungana magoli machache hivyo kwa aina hii ya beti unaweza kunufaika iwapo utakuwa umeweka magoli machache.

PariMatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated