Menyu

Tips of the week 07.02.2021 (Liverpool vs Man City)

| 04.02.2021
Tips of the week 07.02.2021 (Liverpool vs Man City)

Liverpool vs Man City

  • Fahari wawili wanakutana weekend hii jumapili saa 1:30 usiku katika dimba la Anfield huko jijin liverpool. Man City wanaongoza ligi hiyo kwa kuwa na points 47 huku Liverpool wakishika nafasi ya 4 kwa points 40. Liverpool imepoteza mchezo mmoja juzi ikiwa nyumbani dhidi ya Brighton kwa goli 1-0.

  • Ubora wa kikosi cha Liverpool kwasasa unafikia 32% huku Man Coty wakiwa na 68% ya ubora wa kikosi chao. Katika mechi tano za head-to-head walizokutana baina ya timu hizi ndani ya misimu 2 iliyopita, Liverpool  wameshinda mechi 1, Man city wameshinda mechi 2 na mechi 2 ziliisha kwa sare.

  • Mechi 5 za hivi karibuni kwa timu zote mbili walizocheza na timu nyingine katika ligi, Liverpool wameshinda mechi 2, wamepoteza 2 na kutoa sare mechi 1 huku wapinzani wao Man City akishinda mechi zote 5 bila kupoteza hata 1. Maoni yetu katika mechi hii tunatarajia itakua mechi ngumu na ya upinzani mkubwa ila Man City wananafasi kubwa ya kushinda au kutoa sare mechi hii.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo za ubashiri, Tips mbalimbali bofya hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id1227-Liverpool-vs-Manchester-City-07-02-2021

Pari Match Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated