Menyu

MTU ASIYE FAHAMU ANATAKIWA AFANYE NINI ILI ASHINDE

| 04.02.2021
MTU  ASIYE FAHAMU ANATAKIWA  AFANYE NINI ILI ASHINDE

MTU  ASIYE FAHAMU ANATAKIWA  AFANYE NINI ILI ASHINDE

Unaweza kuanza kubashiri pasipo kujari kama unafahamu au hufahamu timu, historia ya timu, ligi, kwa sababu utatumia akili zako pamoja na software maalum. 

Ili ashinde asiyefahamu anatakiwa kuzingatia mambo kadha wa kadha ambayo ndio msingi wa ushindi, cha kwanza kabisa anatakiwa kutembelea kituo cha kubashiri na kuomba kuelekezwa jinsi ya kupangilia mkeka wake.

  1. Anatakiwa kufahamu code, tarehe ya mchezo na muda wa mchezo utakaochezwa, baada ya hapo anatakiwa kuangalia ligi husika anayopendelea pamoja na kutambua timu zitakazo, cheza kabla ya kubashiri.

  1. Katika kubashiri ni vizuri hafahamu ni timu gani hipo nyumbani na nani yupo ugenini, na atambue alama za kila timu akizingatia waugenini na Yule wanyumbani. Baada ya hapo ndipo anaweza kuchagua yupi anampa kwa alama zitakazo mridhisha.

Jinsi ya kubashiri na ushinde

  1. Unapo bashiri katika makampuni yoyote yale ni kosa kubwa na upaswi kuwa unazungumzia mikeka ya wenzako au kuwacheka kuwa hawata shinda. Pia unashauriwa unapo bashiri hautakiwi kuweka timu zaidi ya nne kwa kuanzia.

  1. Unatakiwa kuhakikisha kila unapo bashiri, mkeka wako unaoweka usizidi alama tano, yaani ukizidisha jumla ya pointi zako zote za timu uliyoipa ushindi zisizidi tano, na pia hautakiwi kubashiri kila siku kwa sababu, kuna siku nyingine hakuna timu za ushindi zinazocheza.

  1. Wakati ukiwa una beti kuwa makini na epuka kumuonyesha mtu mwingine, kuepuka mikosi kwa watu waliumbiwa kukosoa, kwa kuwa wao uwa hawashindi na wanaweza kukukosesha pesa kwa kukosoa timu moja tu na ukashindwa.

  1. Pia unaweza kuchagua timu zilizopewa asilimia kuanzia sabini na kuendelea kisha ziunganishe hata zifike tatu, nne weka katika mkeka mmoja kisha weka pesa na iwe siri yako.

Usibeti kwa akili zako za kila siku utaumia kichwa, nakushauri ubashiri baada kuangalia ligi na timu zake zinazoshiriki kwenye ligi hiyo, ili upate fursa za kujijua timu vizuri na kuelewa ni timu zipi za ushindi na zipi ni dhaifu.

Tanzania tips

Eidha Makampuni ya kubashiri hukupa aina nyingi za kubashiri kwa ajili ya mechi mbalimbali za mpira wa miguu kila siku na saa na hata kila sekunde, kwenye mechi inawezekana kiuhalisia ukawa na mamia ya machaguo  ya kubashri, hivyo kuufanya utazamaji wako wa mpira wa miguu kuimarika zaidi lakini muda huo huo unaweza kuhisi umepoteza kila kitu.

Pia njia nzuri zaidi ya kuelewa aina za kubashiri soka ni kuzifuatilia kwenye mifano ya maisha halisi. Kwenye tovuti za makampuni mbalimbali ya kubashiri nchini au katika aplikesheni zao za kubashiri kwenye simu za mikononi unaweza kuona kwa urahisi njinsi bashiri za mpira wa miguu zinavyofanya kazi.

PM Bet Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated