Menyu

MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA WAKATI WA KUANZA KUBETI.

| 03.02.2021
MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA WAKATI WA KUANZA KUBETI.

MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA WAKATI WA KUANZA KUBETI.

Watu wengi wanao jihusisha kushiriki katika michezo ya kubashiri mara nyingi wamejikuta wakikwama kuibuka na ushindi kuchana mikeka yao kwa kushindwa kufuata taratibu, kanunu na misingi ya kubashiri.

Kusikiliza maneno ya watu kuhusu mkeka wako, badala ya kufanya siri wakati unabashiri ni moja ya makosa ambayo watu wengi wamekuwa wakiyafanya pasipo kujua. Inapendekezwa kuwa kwa ambaye anataka kujifunza au anayetaka kuanza kubashiri anatakiwa kuzingatia kanuni na taratibu sahihi za michezo hii ya kubeti kama zilivyo elekezwa na wa taalamu wa michezo hii.

  1. Kwanza kabisa wanaoanza  kujifunza wanatakiwa wafahamu kanuni za michezo hii, na watambue pia ipo kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi. Hivyo basi ni haki ya mtu yoyote kushiriki kadri apendavyo au anapojisikia kufanya hivyo na kubashiri sio kosa kisheria.

  1. Kwa mtu anayetarajia kujifunza kuanza kubeti kuna mambo muhimu anatakiwa kuyazingatia kabla na baada ya kujifunza kubeti. Azingatie na kuzielewa alama zote, timu anayotaka kuibashiria, atambue ubora wake ni upi dhidi ya mpinzani wake, uwezo wa timu na mchezaji mmoja mmoja katika kusakata kandanda na rekodi yake ya ushindi anapokuwa ugenini na nyumbani.

  1. Eidha anatakiwa kufahamu aina za beti na vidokezo vyake, na kabla ya kubeti ajue ni aina ipi ya beti anayo taka kubetia, pia kujua alama za timu zilizopewa ni muhimu sana kwake kuangalia kwa kawaida anashauriwa kuanza kubeti kwa kiasi kidogo cha pesa na timu chache zisizozidi kumi.

Jinsi ya kubeti kwa umakini

  1. Anatakiwa kufahamu kuwa ubashiri wote wa soka unaamuliwa ndani ya muda wa kumalizika kwa mchezo muda wa kawaida ambao ni dakika tisini. Muda huu hujumuisha dakika za majeruhi au muda wa kipenga cha mwisho lakini haujumuishi muda wa nyongeza na kipinda cha penati.

  1. Atambue kwamba malipo ya bashiri zote yatafanyika kwa muda wa kipindi cha kawaida isipokuwa kwa maelezo pinganifu, mfano wa bashiri hizo ni pamoja na kipindi cha kwanza na muda wa kwanza wa penati, kama mechi imechezwa lakini haikukamilika kama ilivyo tangazwa yaani dakika tisini hazijatimia basi bashiri zote za mechi hizo ni batili.

Fahamu jinsi ya kushinda beti

  1. Kama mechi ilisimamishwa na ikaendelea ndani ya dakika arobaini na nane ya baada ya muda wa awali bashiri zote zinazoendelea zitalipwa kulingana na matokeo ya mwisho, Wanatakiwa kutambua kwamba bashiri zote hazita kuwa halali endapo mechi zilizo hairishwa au kufutwa kwa tukio ambalo  mechi imefutwa na kama chaguo la kipengele cha ubashiri kimeshinda kabla ya mechi kufutwa ubashiri utahesabika na malipo yatafanyika.

Na kama utaendelea kufanya ubashiri hata baada ya mechi kuchezwa kwa sababu za ukosefu wa taarifa wausika wanayo haki ya kufuta ubashiri huo, kwa chaguo lolote la mechi ambalo kunamabadiliko ya mpinzani kama timu ya nyumbani inacheza ugenini ufahamu bashiri zote za mechi hazita kuwa halali.

Pia wafahamu kuwa kama ratiba zitatolewa zikionyesha muda usio sahihi kwa zaidi ya dakika tano ubashiri huo hauta hesabika. Kwa maelezo hay machache unaweza kuanza kucheza na beti bila wasiwasi na imani yangu kubwa ushindi ni kwa ajili yako.

Parimatch Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated