Menyu

JE NAPATAJE HELA YANGU BAADA YA KUSHINDA MKEKA WANGU ?

| 01.02.2021
JE NAPATAJE HELA YANGU BAADA YA KUSHINDA MKEKA WANGU ?

JE NAPATAJE HELA YANGU BAADA YA KUSHINDA MKEKA WANGU ?

Baadhi ya watu wameelezea mifumo mizuri inayotumika na Makampuni ya beti nchini hasa kwenye kipengele cha malipo mara baada ya kushinda mikeka yao. Wanaeleza kuwa utaratibu ulio wekwa na kudhibitiwa na mamlaka husika ya usimamizi wa michezo ya  kubashiri kwa sheria na hatua kuchukuliwa kwa kampuni itakayo gundulika kumuibia mteja ambaye ameshinda.

Kwa kila Kampuni kuna namna walivyo weka utaratibu wa malipo kwa wateja wao lakini yaliyo mengi utaratibu unafanana. Mara baada ya mteja kushinda mkeka wake anatakiwa kwenda branch husika aliko betia hili apate stahiki yake.

Kuna njia mbalimbali zinaweza kutumika kwa mteja kupata malipo yake, kulingana na kiwango alicho shinda. Kuna kulipwa kupitia moja kwa moja kwa wakala wa sehemu husika mteja alipo betia, unaweza kulipwa kupitia simu na pia ukalipo malipo yako kupitia akaunti yako ya Bank kama kiwango cha malipo kitakuwa kikubwa.

Jinsi ya kupata pesa baada ya kushinda beti

Wanaeleza kuwa mteja atalipwa endapo atadhibitishwa kuwa ameshinda na ni lazima awe na mkeka ulio kamilika na kubashiri mkeka wake sahihi ndio atalipwa pesa kinyume na hapo hakuna malipo yoyote yatakayo fanyika.

Unapaswa utambue kuwa mongozo wa malipo hautafanyika endapo kama matokeo ya kubashiri hayataweza kudhibitishwa rasmi na mawakala husika wanayo haki ya kusitisha malipo mpaka pale utakapo patikana udhibitisho rasmi wa matokeo. 

Wamefafanua kuwa kama ubashiri ulifanyika ingali matokeo yakiwa bayana, hapo pia wasimamizi wa vituo wanayo haki ya kufuta matokeo ya ubashiri wowote ulio fanyika bila dhima “ wanaeleza mawakala’’

Wanaeleza kwamba iwapo umefanyika ubashiri kimakosa yakiwa ni makosa ya kimuonekano au  ni makosa ya kimahesabu pia mawakala wana haki ya kufanya marekebisho ya malipo kulingana na thamani sahihi au kuufuta ubashiri. Ubashiri wote utalipwa kulingana na matokeo ya mwisho kama matokeo ya ubashiri hayata thibitishwa rasmi hapo pia wana haki mawakala ya kusitisha malipo.

Mawakala wamepewa nguvu dhidi ya matokeo ya mteja, 

iwapo iwapo kutatokea makosa katika matokeo sahihi wakati wowote kuna mabadiliko yoyote ya kanuni mtindo wa tukio la mechi au kanuni za michecho zinapo kiukwa, wanayo haki yakufuta matokeo na hapo hauta weza kupokea malipo. Mfano mabadiliko ya urefu wa kipindi, mabadiliko ya uwanja, mpinzani au mtindo wa mechi n.k.

Kama mechi au tukio halikumalizika au kuchezeka katika utaratibu wa kawaida mfano kufutwa, kujitoa, vikwazo au mabadiliko ya mlolongo wa tukio n.k, ubashiri utatambulika kuwa batili na malipo hayata fanyika, 

kupata pesa zako baada ya kushinda beti

Ubashiri hauta kuwa halali mpaka pale malipo yatakapo fanyika au kupokelewa, ubashiri wowote hauta kubalika kwanza pasipo kufanyika malipo yenye thamani  ya dau lote, kama ubashiri wa mkopo utakuwa batili pia mawakala wanayo haki ya kuzuia malipo ya ushindi wowote utakao patikana.

Ili upate malipo yako hakikisha unazingatia kanuni, taratibu zote za kubeti, alama na vidokezo vyote vya michezo ya kubashiri, kinyume na hapo hayata fanyika malipo kwako.

Parimatch tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated