Menyu

FAHAMU AINA TOFAUTI ZA BETI.

| 02.02.2021
FAHAMU AINA TOFAUTI ZA BETI.

FAHAMU AINA TOFAUTI ZA BETI.

Ili uwe mshindi mara kwa mara katika mchezo huu wa ku-beti ni lazima ufahamu aina tofauti za ku-beti, ambazo ndizo zitatumika kwako kama msingi mkuu wa kukuwezesha kufanya chaguo sahihi la aina ipi ya betini unataka kuitumia kutengenezea mkeka wako. Ni aina nyepesi itakayo kuwezesha kukupa ushindi kiwepesi zaidi kuliko aina nyingine ya beti.

Kuweza kuwa bingwa wa ku-beti ni muhimu ufahamu aina mbalimbali za ku-beti na kila aina ya beti tutakayo zungumzia hapa ina masharti na vigezo vyake, kabla hujachagua aina gani ya beti unataka ufanye unashauriwa kusoma kwa makini maeelezo vigezo na sheria ya beti husika.

Kuna aina nyingi ya beti na ni tofauti kulingana na aina ya mchezo unaopendelea ku-betia ila kwa wale wana mapenzi na soka aina hizo ufanana karibu makampuni mengi, kuzifahamu ni muhimu sana kwa mchezaji kabla ya kuanza ku-beti kwake.

Acha nikufahamishe aina hizo za beti tukianza na zile beti za 1x2 (single bet)

hii ni aina ya beti ambayo ina mpa mchezaji chaguo tatu katika kubashiri kwake yaani, nyumbani ashinde, suluhu, pia ugenini ni hivyo hivyo.

Parinatch best odds

Pia kuna beti ya matokeo mara mbili (The double chance bet)

kwenye beti hii kama inavyo jieleza yenyewe inakupa uhuru wa kuchagua matokeo mawili katika timu moja( timu moja kushinda au droo, ushindi timu mbili au droo, ushindi kati ya timu moja wapo W1 au W2.

Kuna beti mjumuisho au mkeka (combos bet or combined bet)

kwenye hii ni ngumu kidogo kuicheza ukilinganisha na mbili zilizo tangulia kwani inajumuisha mechi zaidi ya moja kwa wakati mmoja, hapa ushindi wa hii beti unategemea matokeo ya jumla katika mechi zote ulizo chagua.

Na odds zake pia ni jumla ya kila mechi uliyo ingiza katika mechi hii wakati wa uchaguzi, humu utakutana na maneno “over/under’’ tafsiri yake ni over ni juu ya….., (zaidi) under ni chini ya….(pungufu) inategemeana na tukio lililotajwa katika mechi mfano magori.

Kuna ku-beti kwa matokeo kamili (The exact score bet)

kwenye aina hii ya beti inabidi mchezaji atabiri matokeo kamili katika mechi husika. Abeti kipindi cha kwanza/ mechi nzima (The halftime/fulltime) kwenye beti hii inakupa ruhusa kubashiri matokeo katika mechi nzima au katika kipindi cha kwanza cha mchezo.

Eidha kuna beti ya Handicap bets

katika beti hii kampuni inaipa timu dhaifu uongozi ambapo utaongezewa kwenye matokeo ya mwisho. Beti hapa itahusika katika matokeo aina tatu (ushindi timu moja, ushindi timu mbili au droo).

Kwa maelezo haya utakuwa umeelewa aina za beti ni jukumu la mchezaji kuchagua aina sahihi ya beti unayo weza kuitumia ku-beti na ikakupa ushindi kwa wepesi zaidi.

Parimatch

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated