Menyu

Tips of the Day 03.02.2021 (Liverpool Vs Brighton)

| 02.02.2021
Tips of the Day 03.02.2021 (Liverpool Vs Brighton)

Liverpool Vs Brighton

  • Jumatano hii majogoo wajiji wanawakaribisha Brighton katika dimba la Anfield usiku wa saa 5:15 majira ya Afrika Mashariki. Liverpool wanaonekana kurudi kwa kasi baada ya kutokua na matokeo mazuri hivi karibuni, katika msimamo wa ligi Liverpool wapo nafasi ya 3 na points 40 huku Brighton wakiwa nafasi ya 17 na points 21.

  • Kutokana na takwimu zetu katika mchezo huu kikosi cha liverpool kina ubora wa 50% dhidi ya Brighton 50%, na katika mechi 5 za head-to-head walizocheza baina ya Liverpool na Brighton kwa misimu 3 iliyopita, Liverpool wameshinda mechi 1 na 1 iliishia kwa sare.

  • Katika mechi 5 za mwisho hivi karibuni walizocheza Liverpool na Brighton dhidi ya timu nyingine katika ligi, Liverpool wameshinda mechi 2, wamepoteza 2 na 1 kuishia kwa sare huku Brighton 2, wamepoteza 2 na sare 1. Maoni yetu katika mechi tunaamini Liverpool watashinda kutokana na uhitaji wao mkubwa wa points za ushindi.

Pata dondoo zaidi ya mechi hii, takwimu na odds mbalimbali kupitia hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id1218-Liverpool-vs-Brighton-03-02-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated