Menyu

Tips of the week 31.01.2021

| 29.01.2021
Tips of the week 31.01.2021

Chelsea Vs Burnley

  • Chelsea wanakua wenyeji wa Burnley siku ya jumapili katika dimba la stamford bridge hapo Uingereza. Chini ya meneja mpya wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel inakua mechi yake ya 2 tangu akabidhiwe timu baada ya kutoa sare mechi yake ya 1 jumatano dhidi ya Wolverhampton.

  • Chelsea wapo nafasi ya 8 katika msimamo wa ligi kwa points 30 huku Burnley wakishika nafasi ya 15 wakiwa na points 22. Katika mechi 5 za head-to-head walizokutana tangu msimu wa 2018 mpaka sasa, Chelsea wameshinda mechi 4 na 1 imeishia kwa sare.

  • Mechi tano za mwisho walizocheza baina ya timu zingine katika ligi hivi karibuni, Chelsea wameshinda mechi 1, wamepoteza 2 na 2 kuishia kwa sare huku Burnley wakishinda mechi 3 na kupoteza 2. Ushauri wetu katika mechi hii ni Chelsea watashinda au mechi itaisha kwa sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, habari na dondoo za ubashiri bofya hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id1165-Chelsea-vs-Burnley-31-01-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated