Menyu

FAHAMU BAADHI YA VIDOKEZO VYA KUCHEZA BETI

| 28.01.2021
FAHAMU BAADHI YA VIDOKEZO VYA KUCHEZA BETI

FAHAMU BAADHI YA VIDOKEZO VYA KUCHEZA BETI

Ukiondoa watu wenye bahati ya kushinda pindi wanapo beti lazima uelewe kuwa kuna vidokezo na mbinu nyingi ambazo ukizifahamu inaweza kukusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku-beti.

Unapo beti ni lazima uwe na uelewa wakutosha na kufahamu mambo muhimu yatakayo kuongezea uelewa mzuri juu ya mchezo wa kubashiri, moja ya mambo hayo mchezaji anapaswa kuelewa vizuri zaidi vidokezo vya ku-beti kitu kitakacho mfanya kuwa mshindi pindi anapo beti na atakuwa ameepuka na janga la kuchana mkeka kila panapoitwa leo. Unapaswa kufahamu kuwa beti katika michezo ni mjumuisho wa jumla ya kiasi cha fedha kinacho husiana na matokeo mara baada ya mechi au tukio la mchezo. Unapo beti kwenye michezo unacho kipata ni kiasi cha pesa ulicho kiweka kwenye hiyo beti (stake) zidisha na muhamala (odds) za hiyo beti uliyo cheza.

Wakati wa ku-beti mchezaji anatakiwa kubeti katika kiasi kidogo cha mechi, anakuwa na uwezekano wa kushinda beti yake ku-beti kiasi kikubwa cha mechi kina punguza uwezekano wa kushinda beti yako kutokana na kuongezeka kwa kiwango cha mechi unazo weka kwenye mkeka wako. Unashauriwa unapo beti usizidishe mechi zaidi ya tano kwenye mkeka wako, kama ukichagua mechi zaidi ya tano kushuka chini nafasi yako ya kushinda mkeka wako ni kubwa zaidi ukilinganisha na Yule anaye beti mechi zaidi ya kumi na kuendelea.

best odds

Pia unapo beti una shauriwa kuchagua odds zilizo za wastani

hapa tuna maanisha huna haja ya kuchagua odds (mrahaba) mkubwa sana ambapo kiuhalisia nafasi yake ya kushinda ni ndogo sana, unatakiwa kujiepusha kutumia mrahaba (odds) zinazo zidi 2.

Eidha unatakiwa kuwa mvumilivu kwa watu wote wana hitaji kushinda tena kushinda kila siku elewa ili kuwa mshindi unahitaji kuwa mvumilivu. Pia jiepushe ku-beti katika kila mchezo au kila tukio unaloliona mbele yako na jaribu ku-beti katika mchezo unao uelewa vizuri. Unatakiwa kufatilia na kufanya utafiti wa timu kwa undani zaidi kabla hauja chagua mechi ya ku-betia, unashauriwa utazame mirahaba (odds) matokeo ya kila timu kwa mechi zake za nyuma na upate uelewa na ubora wa timu unayo kusudia ku-betia.

Na unatakiwa kufahamu kuwa beti katika michezo ni mjumuisho wa kiasi cha fedha kinacho husiana na matokeo yanayo patikana baada ya mechi au tukio la mchezo kumalizika, elewa unacho beti kwenye michezo unacho kipata ni kiasi cha pesa ulicho kiweka kwenye hiyo beti (stake) uzidishe mara muamala (odds) za hiyo beti uliyo cheza. Odds ni namba inayo patikana kwa uwiano wa malipo kamili unayopata na yale ya hisa (stake) uliyo weka na inakuwa katika namba za desimali.

Meridian bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated