Menyu

BODI YA MICHEZO YA KUBASHIRI TANZANIA INAFANYA NINI?

| 26.01.2021
BODI YA MICHEZO YA KUBASHIRI TANZANIA INAFANYA NINI?

BODI YA MICHEZO YA KUBASHIRI TANZANIA INAFANYA NINI?

Bodi ya michezo ya kubashiri Tanzania ipo kwa mujibu wa sheria na imepewa mamlaka ya kusimamia kuyaendesha na kutoa azabu au faini kwa kampuni zitakazo kiuka kanuni za uendeshaji na pia kupendekeza  utaratibu wa namna gani makampuni ya michezo hii ya kubashiri yanatakiwa kuendeshwa, pia imepewa mamlaka ya kusajili na kufuta makampuni yatakayo kwenda kinyume na sheria husika.

Kuwepo kwa bodi hii kunatoa unafuu dhidi ya njama ambazo hapo kabla zilikuwa zikiripotiwa sana, kuhusu utapeli uliokuwa ukifanyika na makampuni haya ya kubashiri dhidi ya wateja wao walio kuwa wana shinda michezo yao. Kwaiyo kuwepo kwa bodi kumemaliza tatizo hilo na kila kitu kuanzia kucheza, mpaka hatua ya mwisho hipo kisheria.

Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania

Bodi ya michezo ya kubashiri ina jukumu la kutoa elimu juu ya namna sahihi ya kucheza michezo hii ya kubashiri kuwa ni starehe na sio kufanya ndio ajira, bali michezo hii itumike kama burudani kwa muda wa ziada baada ya kumaliza kazi na isiwe kila siku.

Wana jukumu la kubadilisha mawazo ya watu wachache ambao wanaamini tofauti kwamba michezo hii ndio jawabu la matatizo yao wala sio starehe. Bodi ya michezo ya kubahatisha ina wajibu wa kuchukua hatua za makusudi hii mapema hata kabla kwa dalili zake kuanza kuonekana.

Pia ina wajibu wa kutoa mongozo

Bodi inawajibika kutoa muongozo wa namna gani mchezaji anaweza kuacha kucheza endapo amecheza na kupoteza kisha akaendelea kucheza kwa fujo au kwa zaidi ya fedha aliyojipangia kwa nia ya kurudisha ili kuokoa fedha alizopoteza katika mchezo. Wana wajibu wakuzuia endapo wakimbaini au kubaini kundi hilo kama lipo na lina endelea kucheza.

Eidha bodi ina wajibu wakutoa elimu kwa umma

Ili jamii iweze kufahamu vyema madhara yatokanayo na kutokucheza kwa busara au kujari. Bodi pia inatoa maelekezo ya kuacha kucheza pale unapo ona umeshindwa kuacha kucheza, pale utendaji wako wa kazi umeathirika kwa sababu ya kucheza michezo ya kubahatisha.

Kuhakiki shughuli zote uendeshaji wa makapuni

kwa kuhakikisha haya hayakiuki utaratibu wa uendeshaji ulioelekezwa na mamlaka husika kwa kuzingatia utaratibu wa michezo yenyewe, kuwa kanuni zake zinazingatiwa na mshindi anapo patikana apewe stahiki yake kwa kiwango kile alicho cheza na sio kinyume na hapo.                                                                                                                                                                                                                                                                                               

 Meridian Bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated