Menyu

Tips of the day 27.01.2021 (Manchester vs Sheffield United)

| 26.01.2021
Tips of the day 27.01.2021 (Manchester vs Sheffield United)

Manchester vs Sheffield United

  • Vinara wa ligi Manchester United jumatano wiki hii wanakwenda kukutana na sheffield united wakiwa na hali ya morali ya ushindi kwa kila mechi wazidi kujiimarisha kuendelea kuongoza ligi hiyo. Ubora wa Man U, unaonekana kuimarika siku hadi siku kwasasa wanafikia 81% dhidi ya 19% kwa sheffield.

  • Tuangazie mechi za head-to-head walizocheza baina ya timu hizi toka mwaka 2016 mpaka sasa katika mechi 4 za kuangazia Man u wameshinda mechi 3 na mechi 1 iliisha kwa sare. 

  • Katika mechi 5 za hivi karibuni kwa kila timu walizocheza katika ligi na michuano mengine, Man U hawakupotezamchezo hata mmoja na walishinda mechi 4 na moja iliisha kwa sare huku Sheffield walishinda mechi 3 na kupoteza 2. Kwa wale wabetiji ushauri wetu katika mechi hii ni Man U kushinda au sare.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo za ubashiri pamoja na Odds kubwa bofya https://tanzaniatips.com/predictions/id1157-Manchester-United-vs-Sheffield-Utd-27-01-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated