Menyu

IJUE BETI MOJA (THE SINGLE BET)

| 25.01.2021
IJUE BETI MOJA (THE SINGLE BET)

IJUE BETI MOJA (THE SINGLE BET)

Ukilinganisha na beti zote hii ndio beti nyepesi lakini kucheza kwako kunahitaji ufahamu mkubwa wa mchezaji ili aweze kushinda, anatakiwa kujua nani ni bora na anapendwa zaidi kuliko mpinzani wake ndipo aweze ku-beti pia anapaswa kuzingatia odds za mechi husika.

Ni moja kati ya aina za beti na ni aina maarufu sana kwenye aina hii ya  ku-beti mchezaji anapewa uwezo wa kubashiri matokeo kwa chaguzi moja tu, eidha ashinde timu moja au utoe sare au ushindi ugenini ni aina iliyozoeleka sana na watu wengi nchini upenda kucheza au kutumia aina hii ya beti.

Single bet

Ni beti rahisi kuliko beti zote inakupa chaguo moja tu kwa mfano ashinde nyumbani, ugenini au adroo. kwa beti hii unatakiwa kuchagua kitu kimoja katika chaguo hizo tatu mchezaji anatakiwa kuchagua ashinde na aina chaguo jingine kama zilivyo beti zingine zinazo kuwa na chaguo nyingi za kubeti.

Ni aina ya beti ambayo mchezaji anatakiwa kuielewa timu ambayo anataka kuibetia kama kuna wachezaji wowote katika timu hiyo ambao ni muhimu kwenye timu hiyo watakosekana eidha ni majeruhi au utovu wa nidhamu au kwa kadi nyekundu.

Eidha aina hii ya beti mchezaji anapaswa kutambua kama kuna timu moja inahitaji alama zaidi kuliko nyingine ndipo afanye maamuzi yake ya kuchagua nani ampe na nani amkate, ni muhimu sana kuwa makini kwa kuwa aina hii aina chaguo zaidi ya moja.

Pia mwamuzi anaweza kuwa sehemu ya ushindi wa beti yako hivyo una shauriwa pia kuwa na utaratibu wa kufuatilia waamuzi wa mechi na kujua ni mwamuzi gani wa mechi anayechezesha mechi hiyo, kufanya hivyo kuna weza kukusaidia kushinda mkeka wako.

Kujua mechi inapo chezwa inaweza kukurahisishia kushinda katika aina hii beti yenye chaguo moja, ufahamu mchezo huo unachezwa wapi ugenini, nyumbani au nje ya nchi katika mazingira mapya (neutral ground) nayo inaweza kukuongezea uwezekano mkubwa wa kushinda.

Meridian bet

Kufahamu historia ya timu na wachezaji

kwa aina hii ya beti kuna weza kukufanya uwe bingwana ufurahie aina hii ya beti, na hapa pia unashauriwa usiweke mechi zaidi ya tano kwa kuwa timu nyingi zinapunguza uwezekano wa mchezaji kushinda.

Katika beti hii unashauriwa kubeti timu chache kwa kuwa aina yenyewe aikupi chaguo zaidi ya mbili, ni inakupa chaguo moja tu la kubashiri kwa mfano Simba na Yanga zinacheza hapa kuna kuwa hakuna chaguo jingine zaidi ya kumpa yanga ashinde au sare eidha simba ashinde/sare kwa mechi kama hii ni vyema mchezaji akaangalia historia ya mchezo huu wa yanga na simba unaojulikana kama dabi ya kariakoo.

MERIDIAN BET

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated