Menyu

Ubashiri wa mpira wa miguu

| 21.01.2021
Ubashiri wa mpira wa miguu

Ubashiri wa mpira wa miguu

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kujaribu kukisia au kuhisi matokeo ya mpira yatakuaje kabla hata mechi haijaanza au wakati mechi inaendelea. Baada ya kujiridhisha na tathmini yako kuhusiana na mechi unazotaka kubashiri basi utaweka pesa yako “almaarufu kama kutandaza mkeka”

Historia ya kubet mchezo wa mpira wa miguu ilianzia huko Uingereza kuanzia miaka ya 1960 iliporuhusiwa kisheria na kuenea duniani kote. Tanzania mchezo wa kubet umekua maarufu kuanzia miaka ya 2010, hii ni kutokana na kukua kwa teknolojia haswa upatikanaji wa internet.

Kabla ya kuanza kubet unatakiwa uzijue sheria muhimu za mchezo ambazo ni pamoja na lazima uwe na miaka zaidi ya kumi na nane, lazima ubeti kabla mechi hazijaanza, au baada kwa kuzingatia kanuni na masharti ya kampuni unayobet nayo.

Aina za betting zinazotumiwa sana hapa Tanzania.

Mosi kubet kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno.

Hapa anayebet anatuma ujumbe wa maneno (sms) kuweka ubashiri wake.

Njia ya pili ni kwa kutumia wakala au ofisi za betting kubashiri mechi zako, Baada ya kuchagua mechi zako utalipia na kubaki na mkeka wako ukisubiria matokeo.

Mkeka wa betting

Njia ya tatu ni online betting.

Ambayo utatakiwa ufungue akaunti na kujaza akaunti hiyo pesa kisha utabet na kiasi ulichobet kitakatwa katika akaunti yako. Lengo la mtu yeyote anayebet ni kushinda bet hiyo ili aweze kutatua matatizo yake.

Mambo yafuatayo yanaweza kumsaidia mtu anayebet ili aweze kushinda bet.

Jua namna ya kubet - watu wengi wanajua namna ya kubet tatizo linakuja namna ya kujua kubet kwa mafanikio, ukijua namna ya kubet kwa mafanikio huwezi kupata hasara na utafurahia mchezo huu.

Bet timu chache - Mtu yeyote aliyemakini ataweka timu chache na kuwa na uhakika wa kushinda bet hiyo kulinganisha na yule aliyeweka mechi kumi na sita.

Elewa msimamo wa ligi unayobet - Ukielewa msimamo itakua rahisi kwako kubet na utaijua timu ya kwanza mpaka ya mwisho,Wafungaji bora,mabeki bora hii itarahisisha sana wewe kubet kwa mafanikio.

Faida za kushiriki betting.

Asilimia Mia moja ya watu wanaobet lengo lao kubwa ni kupata pesa ili waweze kutatua matatizo yao kwao kubet ni kazi kama kazi nyingine yoyote.

Kushawishiwa kutokana na matangazo ya betting ya kwenye luninga na redio. Mara nyingi washindi wa betting hutangazwa na kuwa sehemu ya promotion ya kampuni za kubet mtu aliyeshinda milioni Mia mbili akitangazwa kwenye luninga au redio kwa namna moja ama nyingine basi atawashawishi sana watu kushiriki bet wakiamini kuwa nao watashinda mamilioni ya Shilingi.

Uraibu katika kubashiri kwa imani ya kushinda kitita kikubwa cha pesa, kuna watu wao ni waraibu almaarufu mateja wa kubet. Pamoja na kupoteza pesa nyingi bado wanakua na imani kuwa ipo siku watashinda bet na kuuaga umaskini.

Mwisho kabisa ubashiri wa mpira wa miguu ni chanzo kikubwa sana cha mapato hapa nchini Tanzania, Serikali hukusanya mamilioni ya Shilingi za Kitanzania kila mwezi kutokana na mchezo huu. Sheria zizingatiwe ili ubashiri wa mpira uwe wenye tija kwa taifa na vijana kwa ujumla

 Meridian Bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated