Menyu

Tovuti ya kubashiri mpira wa miguu

| 20.01.2021
Tovuti ya kubashiri mpira wa miguu

Tovuti ya kubashiri mpira wa miguu

Tovuti au wavuti ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni au ni anuani ya tovuti kwenye mtandao ambayo huwa inaelezea mambo mbalimbali mfano kubashiri mpira wa miguu. Ubashiri wa mpira wa miguu kwa mtandao au tovuti umeleta mapinduzi makubwa sana katika ubashiri wa mpira duniani.

Nchini Tanzania tovuti nyingi sana mahsusi kwaajili ya kubashiri mpira wa miguu kwa uchache ni Soka bet, Sport pesa, Pari match, Premier bet, Meridian bet, Mkeka bet, Bet power, Betika na winPrincess bet.

Meridian Bet

Zifuatazo ni faida za kubashiri mpira wa miguu kupitia tovuti.

Ni rahisi sana kubashiri kupitia tovuti unaweza ukabashiri sehemu yoyote utakayokuepo hapa Tanzania hata kama utakua upo kijijini kikubwa tu uwe na mtandao wa internet.

Ni salama sana kubashiri kwa kutumia tovuti usalama wake ni kwamba simu yako ina usiri mkubwa sana maana unaitumia peke yako. Unaweza ukabashiri kupitia simu yako ukiwa nyumbani bila mtu yeyote kujua hata kama utashinda pia huwezi kupoteza mkeka wako kwani kila kitu kitabaki kwenye akaunti yako hata kama utakua umepoteza simu kikubwa ni kukumbuka jina na nywila yako tu.

Unaweza ukapata hela yako muda mfupi tu baada ya mechi kuisha endapo utakua umeshinda, kubashiri kwa tovuti ni raha sana baada ya mechi kuisha hela yako itaingia kwenye simu yako iwe M-pesa, Tigo pesa au Airtel money.

Kunakua na machaguo mengi wakati wa kubashiri unaweza ukabashiri wakati bado mechi inaendelea.

Kunakua na bonasi na promotions.

Tovuti nyingi za kubashiri huwazawadia washindi pesa kidogo na tovuti nyingine hutoa bonsai kwa watumiaji wa tovuti husika kwa mara ya kwanza. Mathalani umeshinda Shilingi 10,000 unaweza ukapewa bonasi ya Shilingi 1,000 ambayo huwavutia watu wengi kupenda kubashiri kwa kutumia tovuti.

Njia mabalimbali za kufanya malipo.

Tovuti mbalimbali za kubashiri zinawapa washindi machaguo mengi namna ya kutoa pesa zao pale wanaposhinda.Hawana ubabaishaji wewe ndio unachagua wakulipe kwa njia gani M-pesa,benki,Credit cards au pesa za mtandaoni kama Bitcoin.

Unaweza kubet kuanzia pesa kidogo hivyo kubana bajeti.

Mtu anayebashiri kupitia tovuti ana wigo mpana wa kubana bajeti maana anaweza kubashiri kwa pesa ndogo kuanzia Shilingi mia moja. Wakati ukibet kwa wakala kiasi kidogo cha kuanzia ni Shilingi mia tano.

Unabaki na kumbukumbu ya ubashiri wa mechi zako zote ulizowahi kubashiri.

Tovuti nyingi zinakuana na kipengele kinachoonyesha historia yako ya kubashiri. Mtu yeyote anayebashiri kwa umakini anaweza akajifanyia tathmini kupitia “betting history”, Hapa naweza akajua amepoteza kiasi gani na amepata kiasi gani maana kumbukumbu zote anazo tangu ameanza kubashiri.

Mapinduzi makubwa katika kiwanda cha kubashiri mpira wa miguu yameletwa zaidi na teknolojia teknolojia hii imetuwezesha kuwa na tovuti ambazo zimerahisisha sana mambo ya kubashiri mpira kwa kupitia tovuti. Hasara mojawapo ya kubashiri mpira kwa tovuti ni kuwa ukiwa maeneo ambayo hayana mtandao wa internet huwezi kubashiri.

Meridian Bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated