Menyu

Tips of the Day 20.01.2021 (AC Milan Vs Atalanta)

| 19.01.2021
Tips of the Day 20.01.2021 (AC Milan Vs Atalanta)

AC Milan Vs Atalanta

  • Moja kati ya mechi nzuri na ya ushindani tunakwenda kushuhudia wikiendi hii ni baina ya Ac Milan dhidi ya Atalanta katika dimba la Stadio Giuseppe Meazza. AC Milan ndio vinara wanaongoza ligi hiyo ya Italia kwa kuwa na points 43 huku Atalanta wakishika nafasi ya 6 kwa points 32.

  • Kiwango cha AC Milan kwa sasa kinafikia ubora wa 52% dhidi ya Atalanta 42%, huku kwa takwimu za mechi 5 zilizopita za head to head baina ya timu hizi mbili, Ac Milan wameshinda mechi 1, Atalanta wameshinda mechi 1 na mechi 3 zimeisha kwa sare, hii ni tangu msimu wa mwaka 2018 mpaka leo.

  • Katika mechi tano za mwisho walizocheza na timu mbalimbali hivi karibuni takwimu zetu zinaonesha Milan kashinda mechi 3, kapoteza 1 na 1 ametoka sare huku Atalanta kashinda mechi mechi 4 na moja kuishia kwa sare.

  • Tunatazamia kuwa ni mechi ya ushindani mkubwa baina ya timu zote mbili na kwa maoni yetu tunatarajia Atalanta kushinda mechi hii au kuishia kwa sare.

Kwa dondoo zaidi za takwimu kuhusu mechi hii, kubashiri na bonasi za bure bofya hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id1124-AC-Milan-vs-Atalanta-23-01-2021

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated