Menyu

Pata dondoo muhimu kabla ya kubet

| 18.01.2021
Pata dondoo muhimu kabla ya kubet

Pata dondoo muhimu kabla ya kubet

Dondoo ni vidokezo kuhusiana na jambo Fulani, tunapozungumzia dondoo muhimu kabla ya kubet tunazungumzia vidokezo muhimu vitakavyokusaidia kabla hujafanya maamuzi ya kubashiri mechi husika. Ukiwa na dondoo muhimu ni nadra sana kufanya ubashiri usiokua na tija.

Zifuatazo ni dondoo muhimu kabla ya kubet.

Kuwa na nidhamu unapobet.

Nidhamu kabla ya kubashiri ni muhimu sana, ukiwa na nidhamu basi utajifunza kanuni za kubashiri, pia ukiwa na nidhamu utaepuka kubet timu nyingi ili tu ule pesa nyingi pasipo kujua kuwa ukibet mechi nyingi nafasi ya kushinda ni ndogo sana.

Zijue timu unazobet.

Hii ni siri ya mchezo, huwezi ukaweka bet kama huzijui vizuri timu unazobetia, Ukizijua timu unazobetia maana yake una nafasi kubwa ya kushinda bet. Utajua timu ipo namba ngapi katika msimamo wa ligi, Wafungaji bora kwa kila timu, majeruhi, Magoli ya kufunga na kufungwa nk.

Weka mechi chache.

Watu wengi huingiwa na tamaa kwa kubet mechi nyingi ili wapate pesa nyingi pia ukibashiri mechi tatu na ukaweka hela nzuri utakua na uhakika wa kushinda hiyo bet, Maana utakua unabet mechi chache ambazo umezifanyia utafiti wa hali ya juu.

Epuka kubet kwa ushabiki.

Unapobet weka ushabiki pembeni na angalia uhalisia ata kama unajua kuwa timu unayaoipenda itapoteza mchezo. Ushabiki unaweza ukakufanya uwe kipofu sababu tu ya upenzi ukiweka ushabiki pembeni ukabet kwa kuipa ushindi timu pinzani utaumia lakini pesa itakua imeingia kwenye akaunti yako.

Fahamu dondoo muhimu kabla ya kubeti

Epuka kubet ligi moja tu.

Usipende kubet ligi moja maana utakua na wigo mdogo sana wa kufanya vizuri, Ukibet ligi mbali mbali unakua na wigo mpana sana wa kushinda bet. Ligi zinatofautiana ligi nyingine ni ngumu sana wakati nyingine ni rahisi na naweza ukabet ligi ya Tanzania,Uingereza ,Ujerumani na Uhispania nk.

Jua msimamo wa ligi husika.

Ukijua msimamo wa ligi husika itakusaidia sana katika kubashiri mechi zako utajua timu gani ni ya kwanza na timu gani ni ya mwisho. Pia utajua wafungaji bora, washambuliaji, mabeki, makipa bora na kama kuna uhamisho wowote umefanyika uwe wa makocha au wachezaji. Taarifa hizi zitakusaidia sana katika ubashiri wenye matokeo chanya.

Bet under na over.

Hii ni aina ya ubashiri ambapo unabet kwa kutaja idadi ya magoli pasipokujali timu. Bet under maana yake magoli yasizidi idadi fulani mfano under 2.5 magoli yasizidi mawili yaani matokeo yanaweza yakawa 0-0,1-0,1-1,0-2 wakati bet over maana yake magoli yazidi idadi fulani mfano over 2.5 maana yake magoli yazidi 3 na kuendelea. Magoli yanaweza yakawa 0-3, 4-0.Hapa huchagui timu bali idadi ya magoli.

Over na Under ya 2.5

Dondoo kabla ya kubet ni muhimu sana ni kama ramani ya vita kwa askari usipokua nayo ni lazima ushindwe vita. Mtu anayebashiri ni lazima azijue dondoo hizi usome sana na kufuatilia habari za michezo, Kufuatilia ligi mbali mbali duniani ili kujua nini unachokifanya. Unatakiwa kununua majarida na kufuatilia vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa ukishakuwa na elimu na uelewa betting kwako itakua ya mafanikio na sio ya kuwasindikiza watu wengine wapige pesa.

 Meridian bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated