Menyu

Namna ya kujua kubet bila gharama

| 15.01.2021
Namna ya kujua kubet bila gharama

Namna ya kujua kubet bila gharama

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kujaribu kukisia au kuhisi matokeo ya mpira yatakuaje kabla hata mechi haijaanza au wakati mechi inaendelea. Baada ya kujiridhisha na tathmini yako kuhusiana na mechi unazotaka kubashiri basi utaweka pesa yako “almaarufu kama kutandaza mkeka”

Historia ya kubet mchezo wa mpira wa miguu ilianzia huko Uingereza kuanzia miaka ya 1960 iliporuhusiwa kisheria na kuenea duniani kote, Tanzania mchezo wa kubet umekua maarufu kuanzia miaka ya 2010, hii ni kutokana na kukua kwa teknolojia haswa upatikanaji wa internet.

Namna gani mtu anaweza akajua kubet bila gharama yoyote.

Kuelekezwa na mtu ambaye tayari ni mbobezi kwenye bet.Huyu anaweza akawa ndugu,rafiki,jirani au hata mfanyakazi mwenzako.Anaweza akakufundisha dondoo muhimu na namna ya kubet.

Kufuatilia sana habari za michezo za ligi mbalimbali.Ukiwa mfuatiliaji wa habari za michezo na ligi itafungua sana uelewa wako katika bet.Utajua timu zinazoongoza na timu ambazo hazifanyi vizuri.Uhamisho,majeruhi na kadi nyekundi.Taarifa kama hizi ni muhimu sana ili kujua kubet bila gharama na kufanikisha betting yenye tija.

Namna ya kubeti bila gharama

Kufuatilia tovuti ambazo zinajihusisha na betting.

Mara nyingi tovuti hizi huwa zinatoa taarifa mbalimbali kuhusiana na taarifa muhimu za kubet.Taarifa muhimu utakazozipata hapa zitakufungua macho kwa kiasi kikubwa sana unachohitaji ni kuwa tu na bando la mtandao ili uweze kuperuzi mtandaoni. Mfano wa tovuti zinazotoa maelekezo vizuri tena kwa Kiswahili ni Pari match.

Kujifunza mtandaoni kupitia Youtube.

Hii ni njia rahisi na yenye wigo mpana sana utapata masomo mengi sana kwenye channel mbalimbali za Youtube bure kabisa maana wanaofundisha ni wengi sana ni wewe tu kuamua umsikilize yupi na umuelewe. Hapa unatakiwa ujue Kiingereza maana chaneli nyingi zinatumia lugha ya Kiingereza.

Tafuta vitabu vya mtandaoni vinavyozungumzia namna ya kubashiri mchezo huu K

una vitabu vingi sana mtandaon vinavyofundisha namna ya kubet, kwa Tanzania hivi vitabu vinapatikana bure kabisa mitandaoni ni wewe tu kuvipakua na sheria za Tanzania hazibani sana kuhusu kupakua vitabu mtandaoni hivyo hii ni faida kwa anayetaka kujua kubet bure kabisa. Mfano kitabu cha The Economics of football kimeandikwa na Stephen Dobson na John Goddard.

Vitabu vya kubeti mtandaoni

Ingia kwenye makundi ya Whatsapp na Telegram ambayo yanajihusisha na betting.

Makundi haya yanasaidia sana kama unataka kupata ujuzu wa kubet bila gharama yoyote ile, Ndani ya makundi haya elimu mbalimbali kuhusiana na betting ukiwa na maswali utauliza na utajibiwa vizuri kabisa bila tatizo lolote, ni suala la wewe kuchangamkia fursa na kuuliza maswali bila woga.

Katika zama hizi za teknolojia ni rahisi sana kujifunza betting kwa kutumia mtandao, internet imefungua milango na kuleta wigo mpana katika kujifunza betting. Vitabu, majarida, video na tovuti mbalimbali zinasaidia sana kutoa maarifa kuhusiana na taarifa muhimu za kukupa ujuzi katika suala zima la kubashiri. Ingawa elimu hii ya kubet inaipata bure bila gharama yoyote lakini ni lazima uwe na data (kifurushi) ili uweze kuperuzi mitandaoni na Youtube chaneli mbalimbali, pia ni lazima ujue lugha ya Kingereza maana ndio lugha inayotumika zaidi Youtube na tovuti mbalimbali.

 Meridian bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated