Menyu

Kampuni ya kubet inayolipa haraka ukishinda

| 04.01.2021
Kampuni  ya kubet inayolipa haraka ukishinda

Kampuni  ya kubet inayolipa haraka ukishinda

Kampuni za kubet ni kampuni ambazo zimesajiliwa kisheria nchini Tanzania kuendesha biashara ya kubashiri mpira wa miguu. Kampuni hizi zimeajiri watu wengi na zinalipa kodi serikalini kwa kawaida kodi za michezo ya kubashiri huwa ni asilimia kumi na nane.

Kwa ujumla makampuni karibu yote yanalipa vizuri, Nitaitumia kampuni ya Sportpesa kama kampuni ya kimataifa katika ubashiri wa mpira na michezo mingine ikiwa na tawi lake hapa Tanzania. Sportpesa imesajiliwa hapa Tanzania kwa TIN namba 130-393-985 ikiwa na usajili wa kampuni namba 123072 Ofisi zao zipo Peninsula House,Toure drive 251,Oysterbay Dar es salaam.

Kampuni ya kubeti inayolipa haraka ukishinda

Ni kampuni ambayo imejikita zaidi katika kujitangaza na kudhamini timu kubwa za Tanzania Simba na Yanga, Kupitia kuzidhamini timu hizi imesaidia sana kujitangaza na kuifanya ijulikane sana nchini Tanzania. Kampuni hii haina longolongo au ubabaishaji linapokuja suala la malipo Sports pesa imejijengea uaminifu mkubwa sana linapokuja kwenye suala la malipo.

Sports pesa inalipa kwa haraka sana punde tu unaposhinda bet yako na mara tu unaposhinda Njia ya malipo ni rahisi sana huhitajiki kwenda ofisini kwao, Wanamalipo kwa njia ya mtandao wa simu njia ambayo ni rahisi kutoa pesa hata kwa watu waliopo vijijini. Hii huwafanya watu wengi kupenda kuitumia kampuni hii maana wamejenga sana uaminifu kwa wananchi.

Kuwepo na jackpot kubwa kuliko zote Tanzania.Sports pesa huendesha jackpot (ushindi mkubwa sana) kila wiki ambapo mshindi hujinyakulia zaidi ya kitita cha shilingi milioni mia mbli (200,000,000). Jackpot hii inahusisha ubashiri wa mechi kumi na tatu kwa dau la shilingi 2000 tu, Na mshindi hutangazwa kwenye luninga, radio na magazeti. Halii hii hujenga imani kubwa sana kwa wananchi kuwa kampuni hii inauhakika haina ubabaishaji kama kampuni nyingine.

Kuna timu ya watumishi ambao wapo tayari kukuhudumia unapokua na tatizo, Spotpesa wamejitahidi sana katika huduma kwa wateja. Wana namba za simu ambazo muda wote zipo wazi kutoa msaada kwa wateja wao pindi watakapopata tatizo, Mtu anaweza akawa anatatizo la kimuamala na akatatuliwa tatizo lake na akaridhika.

kampuni inayolipa haraka zaidi ukishinda mkeka

Uwekezaji walioufanya katika Spotpesa wamewekeza mabilioni ya Shilingi katika kufanikisha biashara hii Kwa namna uwekezaji walioufanya kwenye suala la malipo hakuna ubabaishaji. Spotpesa wamefanya uwekezaji mkubwa sana Afrika mashariki haswa Kenya na Tanzania wamedhamini timu za ligi kuu kama Yanga na Simba udhamini wa miaka mitano. pia wamewekeza katika kubet kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi kwa njia ya simu, Njia hii huwafanya hata wenye simu za viswaswadu(simu zisizo janja) nao  waweze kubet bila kujali kama wana internet Kikubwa tu kuwe na mtandao wa kawaida wa simu.

Makampuni mengine yanapaswa yaige mfano wa Spotpesa katika uwekezaji wa biashara hii ya  ubashiri wa mpira wa miguu Tanzania, Wahakikishe kuwa wanamitaji ya kutosha na kuepuka ubabaishaji katika kampuni zao ili ziweze kuaminiwa na wananchi kama mbavyo kampuni ya Spotpesa ilivyaminiwa na Watanzania na nchi nyingine duniani ambako wamewekeza pia.

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated