Menyu

Kubashiri under na over ya 2.5

| 29.12.2020
Kubashiri under na over ya 2.5

Kubashiri under na over ya 2.5

Hii ni aina ya ubashiri au utabiri wa idadi ya magoli katika mechi Unatabiri magoli yasizidi mawili au magoli yawe zaidi ya matatu katika mechi, Kubet under 2.5 maana yake ni chini ya au pungufu ya kwa maana rahisi ni kwamba magoli yasizidi mawili ndipo bet yako itakua imeshinda. Mfano magoli yanaweza yakawa 0-2, 0-0, 1-0, 1-1 au 2-0

Kubet over 2.5 ni ubashiri ambao magoli yatapatikana matatu au zaidi ya matatu ili uweze kushinda bet kwa mfano 0-3, 4-0.

Aina hii ya bet hujikita zaidi ndani ya dakika tisini za mchezo, uzuri wa aina hii ya betting haitajalisha ni timu gani inashinda Kikubwa kinachoangaliwa ni idadi ya magoli yatakayopatikana katika mtanange huo.

Jinsi ya kubeti over under 2.5

Mambo ya kuzingatia unapo bet under 2.5 bet na over 2.5

Unatakiwa uweke bet yako wakati mpira unaanza na siyo kabla ya mechi maana muda huu odds zitakua nzuri.

Chagua odds ambazo unaona zitakua bora, Odds ni nini? Odds ni desimali za pointi ambazo zinatokana na asilimia za timu kushinda au kupoteza mchezo.

Unatakiwa ujue mfumo unaotumiwa na timu zote kabla hujabet, Ukijua ni mfumo gani wa kiuchezaji unatumiwa na kila timu unayobet itakurahisishia kupata matokeo bora.

Unatakiwa ujue kama hizo timu mbili zinazocheza kama zilishawahi kukutana na matokea yalikuaje, Hii itakusadia kufanya ubashiri wenye matokeo chanya maana utakua na uwezo wa kuchambua kikosi kilichopita na kikosi cha sasa.

Unatakiwa ujue kama wachezaji  muhimu kwa kila timu kama ni majeruhi au hawachezi labda wana kadi nyekundu na kadhalika, Ukilijua hili itakua ni rahisi sana kubashiri na kupata matokeo chanya .

Unatakiwa usubiri mpaka uone kikosi cha wachezaji watakaocheza itakapotangazwa mara nyingi kikosi hutangazwa saa moja kabla ya mechi haijaanza.

Fanya utafiti kuhusiana na mechi ambazo zinahusisha timu zenye matokeo ya juu kabisa ambazo zinakutana ili uongeze nafasi ya kushinda bet yako.

Nini maana ya Over under 2.5

Angalia kama  ni uwanja  wa nyumbani au ni wa ugenini.

Hapa inatakiwa uangalie katika timu unazo bet ni timu ipi inafanya vizuri ikiwa ugenini na ipi inafanya vizuri ikiwa nyumbani. Pia uangalie ni aina gani ya mashindano je ni mechi ya ligi au ni mechi za kimataifa kama Shirikisho au Klabu Bingwa Africa.

Angalia matokea matokeo ya mechi tano zilizopita kwa kila timu.

Hii itakusaidia kujua mifumo na namna magoli yalivyokua yanapatikana, Mfano katika timu unazotaka kubet moja imeshinda mechi tano mfululizo na nyingine imeshinda mechi mbili tu.Hapo utajua ni timu ipi uipe ushindi.

Aina hii ya kubet inahitaji uwe na ufahamu wa kutosha dhidi ya timu unazobetia. Fanya utafiti wa kutosha kabla hujaweka bet yako, Hapa utabeti kwa mafanikio na utashinda bet. Pia wanao bet wanatakiwa watambue kwamba unaweza ukawa na ujuzi na umefanya utafiti kuhusiana na timu unazobet nabado ukishindwa kushinda. Ni lazima kutambua kua huu ni mchezo wa kubashiri na huna uhakika wa kushinda bet kwa asilimia mia moja.

Meridian Bet Tanzania

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated