Menyu

Jua jinsi ya kubashiri correct score na kushinda

| 28.12.2020
Jua jinsi ya kubashiri correct score na kushinda

Jua jinsi ya kubashiri correct score na kushinda

Correct score betting ni aina ya bet ambayo unatakiwa ubashiri matokeo halisi ya mechi Je timu ya nyumbani au wageni  itashinda?na Je itaisha kwa droo?Katika aina hii ya kubashiri huulizwi tu nani atashinda,atadroo au kufungwa,bali unatakiwa utaje matokeo halisi pale mchezo utakapokua umeisha. Kiukweli ni ngumu sana kubashiri matokeo halisi ila malipo yake pia ni mazuri.

Namna ya kubashiri matokeo sahihi katika mpira wa miguu

Kwa ujumla kutabiri matokeo halisi na kushinda ni kazi ngumu sana ingawa ukifanikiwa kushinda malipo yake sio haba,sasa je ufanyaje?

Fikiria ni nani anaweza akashinda hiyo mechi fuatilia msimamo wa ligi, mechi za nyumbani na ugenini zilikuaje na takwimu nyingine nyingi ili zikusaidie kuwa na uelewa ili uweze kushinda bet, ukishafuatilia utajua kuwa labda timu ya ugenini au timu ya nyumbani itashinda.

Pia unaweza ukaangalia odds ambazo zinaweza zikakuambia nani kapewa pointi nyingi kati ya timu mbili unazotaka kubet. Mara nyingi anayepewa odds chache anakua na nafasi kubwa ya kushinda kuliko yule mwenye odds nyingi.

Jinsi ya kubeti correct score

Kuwa mfuatiliaji wa taarifa mbalimbali za ligi unayobet fuatilia sana habari za mpira na maendeleo ya mpira kwa ujumla, Taarifa kama majeruhi, kufungiwa kwa wachezajia na kufukuzwa kwa kocha au ujio wa kocha mpya unaweza ukaathiri ubashiri wako.

Fuatilia kama timu ina historia ya kushinda mechi za nyumbani, kuna timu piga ua lazima zishinde mechi za nyumbani Ukijua hili litakurahisishia sana katika kufanya ubashiri wako na kuwa na uhakika wa kushinda.

Weka magoli machache katika ubashiri wako

Mpira unapoanza tu baada ya muda Fulani unaweza ukajua kwamba timu inaweza ikafungwa magoli machache au mengi. Bado utatakiwa uweke magoli machache maana ni aghalabu kukuta timu imefungwa magoli mengi kuanzia magoli matano na kuendelea, Ila timu nyingi zinafungana magoli machache hivyo wewe utanufaika iwapo utakua umeweka magoli machache. Mfano unaweza ukabashiri ushindi baada ya mechi ni 0-0, 1-1 au droo Pia ukaweka 1-0, 2-0.

Bet kwa kuigawa mechi mara mbili.

Hapa mtu anayebashiri mechi anabashiri kwa kusema kipindi cha kwanza timu ya nyumbani itashinda 2-1 au akasema kipindi cha pili timu ngeni itashinda magoli 2-0. Au akabashiri kuwa kipindi cha pili magoli yatakua ni 1-0.

Beti Correct score

Angalia tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga kwa timu unazobet. Ukishajua tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa itakurahisishia ni timu gani uipe ushindi. Pia utakua na uhakika wa kushinda bet, maana mara nyingi timu ambazo zinakua na idadi ya magoli mengi ya kufunga na machache ya kufungwa ni rahisi kushinda.

Mwisho

Aina hii ya ubashiri katika mchezo wa miguu ni ngumu sana kushinda, Maana unatakiwa ubashiri matokeo halisi ya mechi na sio vinginevyo. Ukishindwa kubashiri vizuri maana yake utapoteza bet yako, Uzuri wake ni kwamba ukishinda bet utalipwa pesa nzuri sana wanaobet wanatakiwa wawe makini ili washinde na kulipwa donge nono.

Meridian Bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated