Menyu

Jinsi ya kubashiri idadi ya magoli

| 19.12.2020
Jinsi ya kubashiri idadi ya magoli

https://ads.meridianbet.co.tz/Banner/Click?a=410927&m=118&md=&c=11284&u=https://meridianbet.co.tz/en/betting&ou=simple_linkJinsi ya kubashiri idadi ya magoli

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kukisia au kuhisi matokeo au idadi ya magoli yatakuaje baada ya mechi.Hii inakua baada ya kujiridhisha kwa utafiti wako binafsi kuwa magoli kadhaa yanaweza yakapatikana.

Kwa kawaida ni kazi ngumu sana kutabiri idadi ya magoli,hapa ndio ugumu wa kubet unapoonekana.Ingawa unaweza ukaangalia mambo yafuatayo ili uweze kubashiri magoli kwa ufasaha.

Angalia ufungaji wa magoli katika ligi husika.Hii itakusaidia sana katika kutambua kuwa ligi hii wanafungana magoli mengi au machache.Hii itakusaidia katika ubashiri wako wa magoli.Kwa mfano Ukiangalia ligi ya Tanzania timu kubwa za Simba na Yanga zinakua na magoli mengi zinapocheza na timu nyingine za mikoani.Mara nyingi timu hizi huwafunga wapinzani wao magoli mengi.Mathalani Simba toka msimu wa ligi umeanza wanashinda magoli sio chini ya matatu katika mechi za ligi.

Aina ya timu na usajili iliofanya.Timu ambayo imefanya usajili mzuri imekamilika kila idara huwa na matokeo mazuri.Matokeo haya yatakupa dira au mwanga katika kubashiri idadi ya magoli.Kuna timu zimewekeza hela nyingi katika kununua wachezaji na matokeo yao huwa mazuri sana.Sasa timu hii inapokutana na timu ya kawaida ni rahisi sana kuchezea kipigo kikali cha magoli.Mfano timu ya Simba almaarufu ’kikosi cha bilioni’ ikikutana na timu kama Ihefu lazima wawapige goli nyingi.Mtu anayebashiri katika mechi hii atampa Simba goli nyingi kuliko Ihefu.

Kubashiri idadi ya magoli

Angalia kikosi kinachocheza.Hii ni mbinu nzuri ya kubashiri idadi ya magoli.Kabla ya mchezo kuanza kikosi hutangazwa saa moja kabla mchezo haujaanza.Hii itakusaidia kujua mchezaji gani ataanza,nani atakuwepo na nani hatakuwepo kwa timu zote unazobashiri.Kama kuna mshambuliaji mahiri hayupo katika timu husika utajua kabisa leo hapa idadi ya magoli ni machache.Au kama mshambualiaji mahiri anacheza na beki tegemezi wa timu pinzani hachezi kwa sababu ni majeruhi, kuna uwezekano mkubwa wa timu hiyo kufungwa goli nyingi.

Angalia timu inashinda goli nyingi ikiwa ugenini au nyumbani.Kwa ubashiri mzuri wa idadi ya magoli hili ni suala la kuzingatia sana.Kuna timu uwanja wa nyumbani wanashinda tena kwa magoli mengi.Wakati timu nyingine ugenini haifanyi maajabu yoyote.Ukishajua hilo hutapata shida kwenye kubashiri idadi ya magoli maana utajua hii timu nyumbani huwa inashinda sio chini ya magoli kadhaa.Ukijua itakusaidia kwenye ubashiri wako wa magoli na kupata matokeo chanya.

Ubashiri wa idadi ya magoli ni moja kati ya ubashiri mgumu sana.Maana idadi ya magoli uliyobashiri na yaendane na matokeo halisi kuna ugumu wake.Unaweza pia ukafuata hatua zote nilizoorodhesha hapo juu nab ado matokeo yasiwe chanya maana kinachofanyikani ubashiri tu na sio sayansi inayofuata kanuni maalumu.Uzuri wa kubashiri idadi ya magoli na ukapatia maana yake malipo pia yatakua mazuri.Waswahili husema “utamu wa kazi ni pesa”.

Meridian Bet

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated