Menyu

Tips of the day 16.12.2020 (Liverpool Vs Tottenham)

| 14.12.2020
Tips of the day 16.12.2020 (Liverpool Vs Tottenham)

16.12.2020

Liverpool Vs Tottenham

  • Jumatano hii tunakwenda kushuhudia mechi kali dhidi ya Liverpool na Tottenham, wote wanalingana pointi katika msimamo wa ligi ila Tottenham wanaongoza ligi kwa idadi ya magoli ya kushinda na kufungwa. Hiatakua mechi rahisi kwa pande zote kwakua wanachuana vikali kila mmoja kutaka kuongoza ligi kwa pointi Zaidi ya mwingine.
  • Liverpool watakua nyumbani na wanapewa nafasi kubwa ya kushinda au kutoa sare mechi hii, kutoka na takwimu kuwabeba kwenye mechi 5 walizokutana baina yao ana kwa ana kwa misimu hii miwili ya hivi karibuni michuano mbalimbali Liverpool walishinda mechi zote 5 dhidi ya Tottenham.
  • Kwa mechi 5 za hivi karibuni msimu huu timu zote zilizocheza zimefungana kwakua Liverpool wameshinda mechi 2 na kutoa sare 3 huku pia vivyo hivyo kwa Tottenham. Ni mechi ngumu na inayosubuiriwa kwa hamu na mashabiki wengi kulingana na ubora wa timu na walimu wao kwa hivi sasa.

Kwa takwimu zaidi kuhusu mechi hii, dondoo za ubashiri na mengine mengi bofya hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id808-Liverpool-vs-Tottenham-16-12-2020

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated