Menyu

Tips of the day 12.12.2020 (Real Madrid vs Atletico Madrid)

| 11.12.2020
Tips of the day 12.12.2020 (Real Madrid vs Atletico Madrid)

Real Madrid vs Atletico Madrid

Madrid dabi, mwisho wa wiki hii tutaenda kushuhudia kipute cha nguvu kati ya Real Madrid na Atletico Madrid. Mechi hii ni ngumu na yenye ushindani mkubwa ukizingatia ubora wa walimu na vikosi walivyonavyo.

Zidane amekua na matokeo mabaya hivi karibuni na huenda akipoteza mechi hii pia atakua katika hali mbaya ya kibarua chake katika timu hiyo. Licha ya kua matokeo mabaya tangu kuanza za msimu huu Real wanatarajiwa kushinda mechi hii kwakua ni dabi lakini pia Atletico wanatazamiwa kuleta ushindani mkubwa kwavile wapo vizuri kitimu katika kutafuta matokeo ya kuibuka na ushindi.

Kwa misimu miwili iliyopita mpaka sasa timu hizi zilipokutana R. Madrid wameshinda meshi 2, sare 2 na A. Madrid wameshinda 1. Msimu huu A. Madrid wanatazamiwa kua na kikosi bora Zaidi ya Real Madrid, kwa mechi 5 za hivi karibuni michuano mbalimbali A. Madrid wameshinda mechi 3 na kupata sare 2 huku Real Madrid wakishinda 2, sare 2 na kupoteza 1.

Mechi hii tunatarajia kupatikana kwa magoli Zaidi ya 2 pande zote na uwezekano mkubwa wa Atletico Madrid kushinda.

Tazama takwimu zaidi ya mechi hii pamoja na dondoo za matokeo hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id756-Real-Madrid-vs-Atletico-Madrid-12-12-2020

Washirika wakuu

WinPrincess
Best Bonus In Tanzania Bonasi ya ukaribisho

150% BONASI!

Premier Bet
Best Value Bonasi ya ukaribisho

Win Up To 250% Extra In CASH!

PariMatch
Best New Bookmaker 2021 Bonasi ya ukaribisho

PATA BONASI YA KIPEKEE YA
100% PINDI UNAPOWEKA PESA
KWA MARA YA KWANZA

22Bet
Bonasi ya ukaribisho

Get a 100% bonus up to TSZ 300 000

Meridian Bet
Bonasi ya ukaribisho

Rudisha Sehemu Ya Tiketi Iliyoshindwa!

Makala zinazohusiana

Comments

No comments yet

Leave a comment

Thank you!

Thank you for your comment!

It will be published after being moderated