Menyu

Akademi ya ubashiri

JE UNAWEZA KUTAJIRIKA KUPITIA MICHEZO YA KUBASHIRI?

JE UNAWEZA KUTAJIRIKA KUPITIA MICHEZO YA KUBASHIRI?

11.06.2021 10:37

Kwanza kabisa napenda kukili kuwa japo sio kwa idadi kubwa ila wapo watu ambao wametajirika na kutengeneza mkwanja mrefu kupitia michezo ya kubashiri. Kuna wengi kubeti ni sehemu ya maisha yao, yaani anaendesha familia, kusomesha kupita kubeti, kwaiyo kuhusu hoja ya kutajirika kwenye michezo ya kubashiri ni jambo ambalo lipo na ni la uhakika.

Kuhusu Sisi
UKUAJI WA MICHEZO YA KUBASHIRI MTANDAONI NCHINI TANZANIA

UKUAJI WA MICHEZO YA KUBASHIRI MTANDAONI NCHINI TANZANIA

10.06.2021 15:05

Ukuaji wa michezo ya kubashiri inakua kwa kasi sana nchini Tanzania ni kutokana na hali ya mabadiliko ya ukuaji wa kiuchumi unao pambishwa na sera nzuri za uwekezaji za sasa kuwa rafiki kwa wawekezaji kuwekeza katika michezo hii ya kubashiri.

Kuhusu Sisi
JINSI YA KUTABIRI MECHI YA MPIRA WA MIGUU KWA USAHIHI

JINSI YA KUTABIRI MECHI YA MPIRA WA MIGUU KWA USAHIHI

04.06.2021 12:48

Mpira wa miguu ni mchezo unao pendwa zaidi dunia kuliko michezo mingine, kuwepo kwa idadi hiyo kubwa ya mashabiki kumepelekea pia kuwepo kwa ongezeko kubwa la Makampuni ya kutabiri  na mchezo huu wa mipira kuwa na watu wengi wanaotabiri kupitia ligi mbalimbali zinazoendelea  duniani.

Kuhusu Sisi
JINSI YA KUTABIRI SARE KWA MECHI YA MPIRA WA MIGUU

JINSI YA KUTABIRI SARE KWA MECHI YA MPIRA WA MIGUU

01.06.2021 12:54

Kama ilivyo kwenye aina zote za kubeti, kuna mbinu fulani ambazo hufanya kazi vizuri zaidi ili beti yako ikunufaishe,  Kubeti sare ni moja wapo ya mbinu inayoweza kuongeza nafasi kubwa ya mchezaji kwa maana atakuwa na uwezekano zaidi ya kushinda ubashiri wake kirahisi, mbinu hizo ni nyingi na wachezaji wengi utumia njia zilizoainishwa kitaalam na wataalamu wa beti.

Kuhusu Sisi
MBINU BORA ZA KUZINGATIA USIPOTEZE BETI ZAKO MARA KWA MARA

MBINU BORA ZA KUZINGATIA USIPOTEZE BETI ZAKO MARA KWA MARA

19.05.2021 15:10

Mchezaji anapaswa kuwa mbunifu pindi anapokuwa anaandaa mkeka wake kwa ajili ya kubeti ili ashinde kirahisi beti yake, kuna mambo ni muhimu anapaswa kuyatambua kabla na baada ya kubeti ambayo yanaweza kumfanya awe mshindi  na haepuke kuchana chana mkeka wake.

Kuhusu Sisi
JE! NI MCHEZO GANI RAHISI KUTABIRI?

JE! NI MCHEZO GANI RAHISI KUTABIRI?

17.05.2021 11:45

Soka(mpira wa miguu) ni mchezo maarufu na pendwa sana duniani na kwa takwimu chache ndio mchezo unaopendwa na kutazamwa na watu wengi kuliko mchezo mwingine wowote ule, ni mchezo wa kutumia nguvu na wenye vitendo vingi vinavyo fanyika uwanjani, hii ni moja ya sababu inayofanya kubeti  mpira wa  miguu mtandaoni kunasisimua sana kuliko kwenda kwa mawakala. Ni mchezo ambao hutoa fursa zisizohesabika kwa wale wanao jaribu bahati yao kwa kubashiri aina mbalimbali za masoko yakiwemo nani atashinda, magori mangapi yatafungwa, kuna yoyote atapata kadi nyekundu na kadharika.

Kuhusu Sisi
Je ni kweli unaweza kushinda Jackpot?

Je ni kweli unaweza kushinda Jackpot?

10.03.2021 16:56

Jackpot ni dau kubwa kabisa katika mchezo wa kubashiri.Katika mchezo wa mpira wa miguu unatakiwa utabiri kwa usahihi mechi nyingi kati ya kumi na tatu mpaka ishirini ili ushinde dau kubwa la mpaka milioni mia nne na hamsini.

Kuhusu Sisi
Jinsi ya kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia  tovuti za utabiri wa matokeo

Jinsi ya kubashiri ligi mbalimbali kwa kutumia tovuti za utabiri wa matokeo

05.03.2021 13:33

Tovuti au wavuti ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni au ni anuani ya tovuti kwenye mtandao ambayo huwa inaelezea mambo mbalimbali.Tovuti ya utabiri wa mpira wa miguu zinajihusisha zaidi na utabiri au ubashiri wa matokeo katika soka. Tovuti zinajihusisha na utabiri wa matokeo ikiwemo Tanzaniatips.com.

Kuhusu Sisi
Kuna tofauti gani kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo?

Kuna tofauti gani kati ya tovuti za kubet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo?

04.03.2021 14:43

Tovuti za kubet ni aina ya tovuti ambazo kazi yake kubwa ni kufanikisha zoezi zima la kubet au kubashiri michezo mbalimbali kwa njia ya mtandao wakati tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo zenyewe kazi yake kubwa ni kutoa mdokezo au taarifa kuhusiana na matokeo ya mchezo fulani, Mfano wa tovuti za kubet ni Sportpesa, Meridian bet, Waka bet, Mkeka bet, Pari match, M bet na tovuti za dondoo za utabiri wa matokeo footballwhispers, BetEnsured, Withdrawin, PredictZ. Sporty Trader, Victor Predict, Tips180.

Kuhusu Sisi
Kwanini kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri matokeo?

Kwanini kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri matokeo?

02.03.2021 13:03

Kampuni za kubet ni Kampuni zilizosajiliwa kisheria nchini Tanzania kwaajili ya kufanya biashara ya kubashiri michezo mbalimbali. Tovuti za utabiri wa matokeo ni tovuti zinazojihusisha na kutabiri au kutoa dondoo muhimu kuhusiana na matokeo ya mchezo wa mpira wa miguu. Ni kweli kampuni za kubet zinachukia uwepo wa tovuti za utabiri wa matokeo kwa sababu mbalimbali zikiwemo zifuatazo; 

Kuhusu Sisi
Je, tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet?

Je, tovuti za kutabiri matokeo zinasaidia kwenye kubet?

01.03.2021 12:29

Tovuti  ni mkusanyiko wa kurasa mbalimbali za mtandaoni ambazo zinakua zimebeba taarifa fulani. Tovuti za kutabiri matokeo ni  zile tovuti ambazo zinajihusisha zaidi na utoaji wa dondoo mbalimbali katika ubashiri wa mpira wa miguu na michezo mbalimbali, Tovuti hizi zipo nyingi na duniani kote na katika michezo mbalimbali. Tovuti zifuatazo zinajihusisha na utabiri wa matokeo footballwhispers, BetEnsured, Windrawwin, PredictZ, Sporty Trader, Victor predict, Tips 180.

Kuhusu Sisi
Jinsi ya Kubet aina mbalimbali za over/under  na maana zake

Jinsi ya Kubet aina mbalimbali za over/under na maana zake

23.02.2021 10:23

Kubet kwa over na under ni aina ya ubashiri inayotegemeana na idadi ya magoli au pointi.Idadi ya magoli inaweza ikawa juu ya magoli fulani au chini ya magoli fulani ili ubashiri wako uweze kushindi.Aina hii ya ubashiri muda mwingine hujulikana kama ‘Total’ ikiwa na maana jumla ya idadi ya magoli uliyobashiri ndiyo itakuwezesha kushinda.

Kuhusu Sisi
NI MBINU GANI ZA MKAKATI ZINAZO TUMIWA KUBETI KWA FAIDA

NI MBINU GANI ZA MKAKATI ZINAZO TUMIWA KUBETI KWA FAIDA

19.02.2021 11:41

Watu wengi wamekuwa wakishindwa kupata matokeo pindi wanapo beti kwa kuwa wanashindwa kujua mbinu na mikakati sahii watakayo itumia ili iwape matokeo yaliyo sahihi. Kuna mbinu nyingi zinaweza kumfanya mtu ashinde mkeka wake na anatakiwa kupata matokeo kwenye michezo ya kubashiri sio kazi rahisi.

Kuhusu Sisi
JE! NI MCHEZO GANI BORA KWA KUBASHIRI?

JE! NI MCHEZO GANI BORA KWA KUBASHIRI?

18.02.2021 08:32

Michezo ya kubashiri ni mingi na ni bora kulingana na mchezaji mwenyewe anavyopendelea na uelewa wake kuhusu mchezo anao upenda. Wakati mwingine mchezaji anaweza kucheza kwa sababu Fulani anacheza na anapata matokeo nay eye akaamua kucheza sawasawa na mwenzake kwa kuwa tu anapata matokeo ya ushindi inaweza kuwa anaongozwa na  mihemko.

Kuhusu Sisi
IPI NI NJIA SALAMA NA YENYE UFANISI ZAIDI KATI YA KUBETI MTANDAONI NA KAWAIDA KUPITIA MAWAKALA?

IPI NI NJIA SALAMA NA YENYE UFANISI ZAIDI KATI YA KUBETI MTANDAONI NA KAWAIDA KUPITIA MAWAKALA?

17.02.2021 11:40

Kubeti kupitia mtandaoni ni bora zaidi kuliko kubeti kwa Wakala kwa sababu taarifa zako za siri zitaweza kufichika isipo kuwa wahusika wa mchezo huo ndio watakao weza kuziona taarifa zako pindi zitakapo wafikia. Hivyo kubeti mtandaoni huwa ni njia nyepesi zaidi za uchezaji wa michezo ya kubashiri kuliko ile ya kubeti kawaida kupitia kwa mawakala.

Kuhusu Sisi
JE! NI CHANGAMOTO ZIPI HUTOKANA NA KUBETI MTANDAONI?

JE! NI CHANGAMOTO ZIPI HUTOKANA NA KUBETI MTANDAONI?

08.02.2021 10:11

Kubeti mtandaoni ni bora sana na kama mtu angependa kubeti au kuomba ushauri wa njia ipi atumie kufanya beti zake kwangu mimi ningemshauri atumie njia ya mtandao. Pamoja na kuwepo kwa ongezeko la wachezaji wanao beti mtandaoni bado kubeti huko kuna changamoto kadhaa japo sio nyingi sana kama zile za kubeti kawaida kwa kutumia mawakala.

Kuhusu Sisi
JINSI GANI ZA KUTUMIA DONDOO ZA UTABIRI MTANDAONI?

JINSI GANI ZA KUTUMIA DONDOO ZA UTABIRI MTANDAONI?

16.02.2021 13:00

Jinsi ya kutumia dondoo za utabiri mtandaoni ili kushinda mkeka wako, cha kwanza unachokihitaji ni kuelewa kanuni za alama za kubashiri. Watu wengi wamekuwa wakijiingiza katika michezo ya kubeti pasipo kufahamu namna gani sahihi ya kubeti, hali iliyopelekea makampuni mengi ya kubeti kuandaa watu ili kutoa maelekezo ya namna gani unaweza kubashiri na kuibuka mshindi.

Kuhusu Sisi
NI JINSI GANI TOVUTI ZA DONDOO ZA UTABIRI KUONGEZA KIWANGO CHA KUSHINDA KWA SASA.

NI JINSI GANI TOVUTI ZA DONDOO ZA UTABIRI KUONGEZA KIWANGO CHA KUSHINDA KWA SASA.

15.02.2021 12:31

Kwa kutumia dondoo za tovuti zinakupa uwezo wa kufahamu masharti na vigezo kabla ya kuanza kubeti. Unaweza ukawa una wazo zuri lakini namna ya kulitekeleza likawa ni changamoto kwako, kwa mfano huu Makampuni mengi yaliona kuanzisha tovuti zinazotoa dondoo kwa wateja wao kutawafanya wapate idadi kubwa ya wachezaji na dondoo hizo zitawarahisishia wachezaji kupata matokeo na wao kupata wadau wengi zaidi.

Kuhusu Sisi
JE! NI VIGEZO GANI VYA KUTAMBUA AU KUZINGATIA KAMPUNI BORA YA KUBETI?

JE! NI VIGEZO GANI VYA KUTAMBUA AU KUZINGATIA KAMPUNI BORA YA KUBETI?

11.02.2021 15:52

Kuna vigezo vingi vya Kuchagua tovuti sahihi ya kubashiri michezo na hii ni uamuzi muhimu sana kwa mchezaji, Kuna tovuti nyingi za kubashiri unazoweza kuchagua lakini kupata inayofaa inaweza kuwa changamoto kwa sababu inaathiri shughuli zako za kubashiri kwa njia tofauti. Tunakushauri sana ufanye utafiti wako kabla ya kuanza safari yako ya kubashiri.

Kuhusu Sisi
FAHAMU MICHEZO MBALIMBALI INAYOBETIWA MTANDAONI.

FAHAMU MICHEZO MBALIMBALI INAYOBETIWA MTANDAONI.

10.02.2021 13:35

Kuna michezo mbali mbali duniani ambayo inaweza kutumika kwenye beti au kubashiri matokeo na michezo yote utumia mtandao kumrahisishia mchezaji wa betini kubeti akiwa huru kabisa, kuna aina nyingi sana ya michezo ya kubashiri ambayo ubadilika na kuendeshwa kulingana na mabadiliko ya Sayansi na teknolojia, Huenda ukuaji wa sayansi na teknolojia ukawa ni ngumu kwa baadhi wa watu na ikawa ni rahisi kwa wengine. Ninacho weza sema usiwe na shaka miongoni mwa malengo ya makampuni ya michezo ya kubashiri nchini, ni kukutengenezea wewe mdau wa michezo ya kubashiri uzoefu wa hali ya juu bila ya kuwa na usumbufu wa aina yoyote pindi unapotaka kubeti.

Kuhusu Sisi
JE! NI KWELI UNAWEZA KUBETI CORRECT SCORE NA UKASHINDA?

JE! NI KWELI UNAWEZA KUBETI CORRECT SCORE NA UKASHINDA?

09.02.2021 10:30

Ni hakika isiyo na shaka kwamba kwa kutumia aina ya correct score unaweza kushinda japo aina hii ya beti ni ngumu sana na inaitaji mchezaji kujifunza zaidi kuhusu timu anazokusudia kuzitumia wakati wa kubashiri kwake. Katika aina hii ya beti mchezaji anatakiwa kubashiri matokeo halisi ya mechi kabla mchezo haujaanza.

Kuhusu Sisi
MTU  ASIYE FAHAMU ANATAKIWA  AFANYE NINI ILI ASHINDE

MTU ASIYE FAHAMU ANATAKIWA AFANYE NINI ILI ASHINDE

04.02.2021 09:30

Unaweza kuanza kubashiri pasipo kujari kama unafahamu au hufahamu timu, historia ya timu, ligi, kwa sababu utatumia akili zako pamoja na software maalum. 

Kuhusu Sisi
MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA WAKATI WA KUANZA KUBETI.

MAMBO MUHIMU YA KUJIFUNZA WAKATI WA KUANZA KUBETI.

03.02.2021 10:11

Watu wengi wanao jihusisha kushiriki katika michezo ya kubashiri mara nyingi wamejikuta wakikwama kuibuka na ushindi kuchana mikeka yao kwa kushindwa kufuata taratibu, kanunu na misingi ya kubashiri.

Kuhusu Sisi
FAHAMU AINA TOFAUTI ZA BETI.

FAHAMU AINA TOFAUTI ZA BETI.

02.02.2021 11:51

Ili uwe mshindi mara kwa mara katika mchezo huu wa ku-beti ni lazima ufahamu aina tofauti za ku-beti, ambazo ndizo zitatumika kwako kama msingi mkuu wa kukuwezesha kufanya chaguo sahihi la aina ipi ya betini unataka kuitumia kutengenezea mkeka wako. Ni aina nyepesi itakayo kuwezesha kukupa ushindi kiwepesi zaidi kuliko aina nyingine ya beti.

Kuhusu Sisi
FAHAMU BAADHI YA VIDOKEZO VYA KUCHEZA BETI

FAHAMU BAADHI YA VIDOKEZO VYA KUCHEZA BETI

28.01.2021 14:42

Ukiondoa watu wenye bahati ya kushinda pindi wanapo beti lazima uelewe kuwa kuna vidokezo na mbinu nyingi ambazo ukizifahamu inaweza kukusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku-beti.

Kuhusu Sisi
FAHAMU CHAGUO ZA KUSHINDA BETI YAKO

FAHAMU CHAGUO ZA KUSHINDA BETI YAKO

27.01.2021 12:00

Ili ushinde kitu cha kwanza unachohitaji ni kuelewa kanuni za alama za kubashiri Watu wengi wamekuwa wakijiingiza kwenye michezo ya beti pasipo kufahamu, namna gani sahihi ya kubeti. Hali iliyopelekea makampuni mengi ya betini nchini kuandaa watu ili kutoa maelekezo na namna gani unaweza kubashili nakuibuka mshindi. Awajaishia hapo tu ili kuhakikisha michezo hii ya kubashiri inakuwa na wadau wengi kumekuwepo na mafunzo kupitia vyanzo mbalimbali ikiwepo kuandaa tovuti zinazoelezea na kuonyesha njia sahihi ya kubeti kwa wateja wao.

Kuhusu Sisi
IJUE BETI MOJA (THE SINGLE BET)

IJUE BETI MOJA (THE SINGLE BET)

25.01.2021 12:48

Ukilinganisha na beti zote hii ndio beti nyepesi lakini kucheza kwako kunahitaji ufahamu mkubwa wa mchezaji ili aweze kushinda, anatakiwa kujua nani ni bora na anapendwa zaidi kuliko mpinzani wake ndipo aweze ku-beti pia anapaswa kuzingatia odds za mechi husika.

Kuhusu Sisi
Ubashiri wa mpira wa miguu

Ubashiri wa mpira wa miguu

21.01.2021 10:46

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kujaribu kukisia au kuhisi matokeo ya mpira yatakuaje kabla hata mechi haijaanza au wakati mechi inaendelea. Baada ya kujiridhisha na tathmini yako kuhusiana na mechi unazotaka kubashiri basi utaweka pesa yako “almaarufu kama kutandaza mkeka”

Kuhusu Sisi
Tips of the Day 20.01.2021 (AC Milan Vs Atalanta)

Tips of the Day 20.01.2021 (AC Milan Vs Atalanta)

19.01.2021 13:36

AC Milan Vs Atalanta

  • Moja kati ya mechi nzuri na ya ushindani tunakwenda kushuhudia wikiendi hii ni baina ya Ac Milan dhidi ya Atalanta katika dimba la Stadio Giuseppe Meazza. AC Milan ndio vinara wanaongoza ligi hiyo ya Italia kwa kuwa na points 43 huku Atalanta wakishika nafasi ya 6 kwa points 32.

  • Kiwango cha AC Milan kwa sasa kinafikia ubora wa 52% dhidi ya Atalanta 42%, huku kwa takwimu za mechi 5 zilizopita za head to head baina ya timu hizi mbili, Ac Milan wameshinda mechi 1, Atalanta wameshinda mechi 1 na mechi 3 zimeisha kwa sare, hii ni tangu msimu wa mwaka 2018 mpaka leo.

  • Katika mechi tano za mwisho walizocheza na timu mbalimbali hivi karibuni takwimu zetu zinaonesha Milan kashinda mechi 3, kapoteza 1 na 1 ametoka sare huku Atalanta kashinda mechi mechi 4 na moja kuishia kwa sare.

  • Tunatazamia kuwa ni mechi ya ushindani mkubwa baina ya timu zote mbili na kwa maoni yetu tunatarajia Atalanta kushinda mechi hii au kuishia kwa sare.

Kwa dondoo zaidi za takwimu kuhusu mechi hii, kubashiri na bonasi za bure bofya hapa https://tanzaniatips.com/predictions/id1124-AC-Milan-vs-Atalanta-23-01-2021

Kuhusu Sisi
Tovuti ya dondoo za kubet Tanzania

Tovuti ya dondoo za kubet Tanzania

19.01.2021 10:48

Tovuti au wavuti ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni au ni anuani ya tovuti kwenye mtandao ambayo huwa inaelezea mambo mbalimbali mfano kubashiri mpira wa miguu. Dondoo ni vidokezo au taarifa fupikuhusiana na jambo Fulani.Kwa muktadha wetu dondoo za kubet ni vidokezo au taarifa fupi kuhusiana na kubet. Ubashiri wa mpira wa miguu kwa mtandao au tovuti umeleta mapinduzi makubwa sana katika ubashiri wa mpira duniani.

Kuhusu Sisi
Pata dondoo muhimu kabla ya kubet

Pata dondoo muhimu kabla ya kubet

18.01.2021 09:32

Dondoo ni vidokezo kuhusiana na jambo Fulani, tunapozungumzia dondoo muhimu kabla ya kubet tunazungumzia vidokezo muhimu vitakavyokusaidia kabla hujafanya maamuzi ya kubashiri mechi husika. Ukiwa na dondoo muhimu ni nadra sana kufanya ubashiri usiokua na tija.

Kuhusu Sisi
Namna ya kujua kubet bila gharama

Namna ya kujua kubet bila gharama

15.01.2021 10:16

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kujaribu kukisia au kuhisi matokeo ya mpira yatakuaje kabla hata mechi haijaanza au wakati mechi inaendelea.Baada ya kujiridhisha na tathmini yako kuhusiana na mechi unazotaka kubashiri basi utaweka pesa yako “almaarufu kama kutandaza mkeka”

Kuhusu Sisi
Jua jinsi ya kubashiri correct score na kushinda

Jua jinsi ya kubashiri correct score na kushinda

28.12.2020 14:44

Correct score betting ni aina ya bet ambayo unatakiwa ubashiri matokeo halisi ya mechi Je timu ya nyumbani au wageni  itashinda?na Je itaisha kwa droo?Katika aina hii ya kubashiri huulizwi tu nani atashinda,atadroo au kufungwa,bali unatakiwa utaje matokeo halisi pale mchezo utakapokua umeisha. Kiukweli ni ngumu sana kubashiri matokeo halisi ila malipo yake pia ni mazuri.

Kuhusu Sisi
Jinsi ya kubashiri idadi ya magoli

Jinsi ya kubashiri idadi ya magoli

19.12.2020 12:09

Ubashiri wa mpira wa miguu ni kitendo cha kukisia au kuhisi matokeo au idadi ya magoli yatakuaje baada ya mechi.Hii inakua baada ya kujiridhisha kwa utafiti wako binafsi kuwa magoli kadhaa yanaweza yakapatikana.

Kuhusu Sisi
How to win Football Jackpot in Tanzania

How to win Football Jackpot in Tanzania

11.10.2020 09:51

Want to know how to win a football Jackpot? Then read this article to get to some pro-tips that would help you win a jackpot quickly.

Kuhusu Sisi
Get Today Football Match Prediction Banker For Free

Get Today Football Match Prediction Banker For Free

02.01.2021 10:42 |

Today Football Match Prediction Banker

Almost every bettor is ready to do whatever it takes to get a sure bet. Bets that can guarantee a high return on their betting capital. It is commonly called a Banker bet among punters, and surely, every punter is always looking for a banker bet.

Kuhusu Sisi
How to avoid the risks of Online Casino Gaming

How to avoid the risks of Online Casino Gaming

02.08.2020 10:12

Learn all the risks involved in Online Casino Gaming and how to avoid them

Kuhusu Sisi
Why Tanzania Tips is the best prediction site in Tanzania

Why Tanzania Tips is the best prediction site in Tanzania

02.08.2020 09:44

Many prediction sites are tipster, they run websites just for the traffic and really have nothing to offer. Our predictions are not based on guesses or any other questionable source (like fake fixed matches). All our predictions are based on complex and technical analysis of data. 

Kuhusu Sisi
Insurance in football betting. What is it all about?

Insurance in football betting. What is it all about?

21.07.2020 13:53

How to insure your bets to minimize you lose 

Kuhusu Sisi
Handicap Betting Explained - Full Guide

Handicap Betting Explained - Full Guide

21.07.2020 13:30

Handicap Betting Explained in full details - Best and Easiest Guide You Will Find

Kuhusu Sisi
10 Easy Steps to Win More Football Bets

10 Easy Steps to Win More Football Bets

03.01.2021 07:58

We will be talking the ten easy steps to win more football bets, and if you pay close attention, you could be on the way to winning all your bets.

Kuhusu Sisi
What is 1x2 Betting?

What is 1x2 Betting?

10.07.2020 07:39

1x2 bet is one of the very popular bets in football betting. It is also popular in sports whose outcome is likely to be a draw. 1x2 bet is also known as three-way betting, full time betting and match betting. 1x2 may seem to be a strange betting name, which can confuse most bettors who are just coming into the sports betting market. If you are a regular punter, you would have come across this bet hundreds of times.

Kuhusu Sisi
Football Jackpot – The Ultimate Guide

Football Jackpot – The Ultimate Guide

10.07.2020 06:15 |

Jackpot, Football Jackpot

All You Need To Know About Jackpot Betting

Kuhusu Sisi
5 Easy Steps to Become a Professional Football Bettor

5 Easy Steps to Become a Professional Football Bettor

09.07.2020 17:12

The goal of every bettor is to make profits. However, not every bettor is actually making money. Whether you like it or not, you have to be strategic about your betting. 

Kuhusu Sisi
Where to get best football predictions for this EPL season

Where to get best football predictions for this EPL season

09.07.2020 16:25

The English Premier League (EPL) is considered the most popular football league in the world in many quarters.

Kuhusu Sisi
EPL BETTING 101 – Everything you need to know before placing a bet

EPL BETTING 101 – Everything you need to know before placing a bet

09.07.2020 14:11

Football betting has become increasingly popular in Tanzania. With the population having a mobile phone penetration of 85%, almost everyone in Tanzania can place a bet with any bookmaker of their choice.

Kuhusu Sisi
Football betting scams you need to look out of

Football betting scams you need to look out of

09.07.2020 12:46 |

Football Predictions

Examples of football betting scams in Tanzania and how they operate

Kuhusu Sisi

Ikiwa una swali lolote kuhusu kubeti mpira wa miguu, au unatafuta kupanua maarifa yako ya kubashiri mpira wa miguu basi kitufe cha akademi ndio mahali sahihi.

Zikiwa zimejaa miongozo na ushauri wa busara, Inatoa kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kubashiri mpira wa miguu, kuanzia miongozo ya kina ya kubashiri hadi mikakati tata ya kubashiri.

Pia inaangazia utapeli mwingi wa kubashiri mpira wa miguu ambao uko kwenye wavuti kwa sasa, kwa hivyo hakikisha ukiangalia sasa!